Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kikosi kuanza safari ya kurudi kesho mchana

24 Feb 2024

Mratibu wa timu, Abbas Ally amesema leo jioni kikosi kitafanya mazoezi ya utimamu wa mwili kujiweka sawa na kesho mchana kitaanza safari ya kurejea nchini na kinatarajia kuwasili jijini Dar es Salaam saa tisa alfajiri ya kuamkia Jumatatu.

Tazama video hii hadi mwisho Abbas amezungumzia kuhusu mchezo wetu unaofuata dhidi ya Jwaneng Galaxy.

Advertisement
Back to homepage
Share this story