Simba Sports Club
News

VIDEO: Kikosi kimeanza safari ya kurejea nyumbani

13 Feb 2023

Kikosi kitapitia nchini Ethiopia na baadae kitakuja nyumbani na kinatarajiwa kuwasili jijini Dar es Salaam saa 9 alfajiri Jumanne.

Tazama video hadi mwisho kuona kikosi kikianza msafara wa kurejea nyumbani.

Advertisement
Back to homepage
Share this story