Kocha Fadlu amesema kuelekea mchezo wetu wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Tabora United tumepata picha nzuri ya aina ya timu ambayo tutakwenda kuikabili timu hiyo
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia mchezo mzima dhidi ya Coastal ulivyokuwa.