Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kikosi chetu kimekamilika kila idara

27 Sep 2024

Ahmed amesema katika mchezo dhidi ya Azam tumewakosa nyota wetu Yusuph Kagoma na Mzamiru Yassin lakini bado waliokuwepo wameonyesha uwezo mkubwa.

Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia kiwango kilichoonyeshwa na mshambuliaji Leonel Ateba na Fabrice Ngoma.

Advertisement
Back to homepage
Share this story