Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kikosi chetu kimeendelea kuimarika

6 Nov 2024

Ahmed amesema wachezaji wanafuata vema mafunzo na mbinu za mwalimu Fadlu Davids na ndio sababu ya ushindi mnono wa mabao 4-0 tuliopata dhidi ya KMC.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amechambua viwango vya wachezaji mmoja mmoja.

Advertisement
Back to homepage
Share this story