Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kikosi chawasili salama Botswana

18 Sep 2025

Baada ya kufika katika jiji la Gaborone kikosi kimeelekea katika mji wa FrancisTown ambapo mchezo huo utapigwa.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi ilivyokuwa wakati kikosi kilivyokuwa kinawasili.

Advertisement
Back to homepage
Share this story