Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kikosi chafanya mazoezi ya Uwanjani.

15 Aug 2024

Uwanja wa Abebe Bikila ndio tutautumia kucheza mechi zetu za hatua ya makundi hivyo wachezaji wanaendelea kuuzoea pamoja na hali ya hewa ambayo ni baridi.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story