Kijili amesema Kapombe ni mmoja ya wachezaji anaowakubali na amekuwa akijifunza mambo mengi na anafurahi kucheza nae kwenye timu moja na pia amekuwa msaada mkubwa kwake ndani na nje ya uwanja.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kijili amezungumzia kuhusu mechi inayofuata dhidi ya Kagera Sugar.