Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kijili akiri Bigman wametupa mechi ngumu

27 Mar 2025

Kijili amesema Bigman walikuwa wazuri kwenye kuzuia mashambulizi pamoja na kufanya yakushtukiza huku wakicheza soka la pamoja kitu ambacho kiliwapa wakati mgumu.

Tazama video hii hadi mwisho Kijili amezungumzia nafasi aliyopewa ya kucheza na Kocha Fadlu Davids.

Advertisement
Back to homepage
Share this story