Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kijili afunguka sababu ya kuanza dhidi ya Dodoma Jiji

29 Sep 2024

Kijili amesema kujituma na kwake na kufuata maelekezo ya mwalimu ndipo kinachomfanya kupata nafasi huku akiweka wazi kuendelea kufanya jitihada ili kuisaidia timu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kijili amezungumzia pia kuhusu mechi inayofuata dhidi ya Coastal Union.

Advertisement
Back to homepage
Share this story