Kibu amesema baada ya kufanya makosa yaliyopelelekea kuruhusu bao la mapema lakini waliweza kupambana hadi mwisho kuhakikisha ushindi unapatikana licha ya mashabiki kuwa walishakata tamaa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kibu amezungumzia mchezo mzima ulivyokuwa