Kibu amesema kinachotokea ni sehemu ya mpira na hakuna tofauti yoyote kati ya wachezaji na uongozi au wenyewe kwa wenyewe ambapo amewaomba mashabiki waendelee kuipa sapoti timu waisivunjike moyo na kinachotokea sasa.
Tazama video hii hadi mwisho ili uone jinsi Kibu alivyofunguka kila kitu.