Kibu amesema licha ya ushindi wa mabao 3-0 tuliyopata ugenini lakini bado haijatupa uhakika wa moja kwa moja wa kufuzu hatua ya makundi hivyo mashabiki wanatakiwa kujitokeza kwa wingi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kibu amefunguka kuhusu alichoambiwa na Meneja Mkuu, Dimitar Pantev kabla ya kuingia uwanjani.