Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kibu atoboa siri ya kiwango chake

19 Jan 2025

Kibu amesema mchezo dhidi ya CS Constantine haukuwa rahisi lakini jambo jema ni kuwa tumefanikiwa kuongoza kundi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kibu ameelezea pia jinsi alivyofunga bao lake.

Advertisement
Back to homepage
Share this story