Simba Sports Club
News Videos

Video: Kibu asimulia alivyojisikia baada ya kuifunga Al Ahly jana

21 Oct 2023

Kibu amesema licha matokeo ya sare ya mabao 2-2 kutokuwa kwenye mipango ya timu lakini tunamshukuru Mungu kwa hilo na tunaenda Cairo, Misri kwa ajili ya marudiano tukiwa tayari kwa mapambano.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kibu amezungumzia vipia kuhusu mechi yenyewe ilivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story