Kibu amesema ilikuwa ni kama fainali na presha ilikuwa kubwa lakini Taifa Stars imepambana hadi mwisho kuhakikisha ushindi unapatikana na kufuzu AFCON.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kibu ameweka wazi furaha yakuwa kwenye kikosi kilichoipeleka Taifa Stars AFCON.