Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kibu ana matumaini ya kutwaa ubingwa wa Shirikisho Afrika

16 May 2025

Kibu amesema mchezo utakuwa mgumu na kila mmoja analijua hilo lakini tumejiandaa vizuri kuhakikisha tunawapa furaha Wanasimba waliokuja Morocco kutupa sapoti pamoja na wale waliobaki nyumbani Tanzania.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kibu ameweka wazi azma yake ya kutaka kufunga kwenye mchezo wa leo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story