Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kibu akiri kuwa Simba imfikisha alipo sasa

16 Feb 2026

Kibu ambaye amejiunga na Al Nasser ya Libya amesema Simba ni kama baba, mlezi na familia kwakwe na katika kipindi chote cha maisha ya soka hataweza kuisahau.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kibu amezungumzia nyakati zote za furaha na huzuni alizopitia katika kipindi chote cha miaka mitano alichodumu ndani ya Simba.

Advertisement
Back to homepage
Share this story