Kibu amesema changamoto ni kubwa na katika mchezo wa mpira wa miguu kuna kupanda na kushuka lakini wao kama wachezaji watapambana kuhakikisha malengo ya kutwaa ubingwa yanafikiwa.
Tazama mahojiano haya mpaka mwisho Kibu amegusia pia kuhusu mechi inayofuata dhidi ya Coastal Union.