Simba Sports Club
News

VIDEO: Kibu afunguka kuhusu historia ya maisha yake ya soka

17 Apr 2023

Kibu amesema kipaji chake cha soka kilijulikana tangu akiwa mtoto ambapo alianza kuonekana kwenye michuano ya Shule za Msingi (UMITASHUNTA) pamoja na timu yake ya mtaani.

Fuatilia hadi mwisho kuona mahojiano aliyofanya Kibu na Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally ili kuweza kumfahamu kwa undani nyota huyu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story