Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kibu afunguka baada ya ushindi dhidi ya Kengold

18 Jun 2025

Kibu amesema mechi za kuelekea mwishoni mwa msimu zinakuwa ngumu na hata Kengold walitupa ushindani mkubwa lakini jambo jema ni kupata alama tatu muhimu.

Tazama video hii hadi mwisho Kibu amezungumzia pia tuzo aliyopata ya mchezaji bora wa mechi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story