Kibaila amesema nafasi anayopata inazidi kumuongezea hali ya kujiamini hasa ukizingatia bado ni mchezaji kijana na anaendelea kujifunza.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Kibaila amezungumzia mchezo dhidi ya B19 pamoja na mechi zetu za ugenini za Ligi Kuu zinazofuata.