Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kibabage kuwathibitishia 'walio mchukulia poa'

29 Jan 2026

Kibabage amesema wengi hawakuamini usajili wake ndani ya kikosi chetu lakini yupo kuhakikisha anatibitisha uwezo wake kwa vitendo uwanjani.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kibabage amezungumzia pia mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ES Tunis

Advertisement
Back to homepage
Share this story