Kennedy amesema mchezo dhidi ya Power Dynamos ulikuwa mgumu na kwa hali yoyote tulitakiwa kushinda au kupata sare bila kujalisha tumechezaje na mashabiki wanapaswa kuelewa.
Nae kocha Mkuu, Roberto Oliviera 'Robertinho' amesema baada ya kufanikiwa kufuzu makundi sasa tunajipanga kwa hatua inayofuata.
Advertisement
Tazama mahojiano haya hadi mwisho ili kuona mipango ya timu ilikuwaje kabla ya mchezo.