Kazi amesema Simba ni timu kubwa na ina wachezaji wazuri kila eneo hivyo unapopata nafasi ni vema kuitumia vizuri ili kuisaidia timu kupata ushindi ili kutimaliza malengo.
Tazama video hii hadi mwisho Kazi amezungumzia mchezo unaofuata wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry.