Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kauli ya Zimbwe Jr kuelekea mchezo dhidi ya Coastal

26 Feb 2025

Zimbwe amesema kwa sasa mkazo wetu mkubwa ni kupigania alama tatu na baadae kuanza maandalizi ya Dabi ya Kariakoo halafu Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Zimbwe Jr amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi katika mchezo wa Jumamosi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story