Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kauli ya Mutale baada ya ushindi dhidi ya JKT

5 May 2025

Mutale amesema kwa sasa kila mchezo ni kama fainali kutokana na ugumu wake lakini wanajipanga kwa kila hali ili ushindi upatikane.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mutale amezungumzia mchezo unaofuata dhidi ya Pamba.

Advertisement
Back to homepage
Share this story