Mgunda pia ameelezea uwepo wa wachezaji wengi wenye ubora katika safu ya kiungo lakini hilo haliipi shida benchi la ufundi badala yake wanafurahi kutokana nakuwa na upana wa kikosi.
Tazama video kamili ya mahojiano yote aliyofanya Mgunda na Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu Ahmed Ally.