Simba Sports Club
News

VIDEO : Kauli ya Mgunda baada ya droo ya makundi kupangwa

13 Dec 2022

Katika droo hiyo, Simba imepangwa Kundi C pamoja na Raja Casablanca, Horoya na Vipers.

Mgunda amesema kila timu tuliyopangwa nayo ni bora na tutajipanga vizuri kuhakikisha tunapata matokeo mazuri iwe nyumbani au ugenini.

Advertisement

Tumekuekea hapa mahojiano na mwalimu

Back to homepage
Share this story