Pantev amesema kikosi kimecheza vizuri na wachezaji wamepambana na sasa kitarejea uwanja wa mazoezi kujiandaa na mechi zilizo mbele yetu.
Tazama video hii hadi mwisho Meneja Pantev amezungumzia pia viwango vya wachezaji.