Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kauli ya kwanza ya Meneja Dimitar Pantev

4 Oct 2025

Pantev amesema ana siku 10 za kuiandaa timu kabla ya kuelekea mchezo wa hatua ya kwanza na anaamini uwezo wa wachezaji waliopo wataweza kusaidia kufikia malengo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Pantev amefungua mengi jinsi alivyoifuatilka Simba mpaka alipokubali kujiunga nasi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story