Maema amesema ushindi wa mabao 2-0 tuliopata dhidi ya Wadi Degla SC umeongeza hali ya kujiamini kwa wachezaji na kilikuwa kipimo sahihi huku alifurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Maema amezungumzia jinsi msimu utakavyokuwa.