Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kauli ya kwanza ya Kocha Morocco

23 Sep 2025

Morocco amesema amepata muda wa kuzungumza na wachezaji mmoja mmoja na kuwaeleza kuwa wana viwango bora na wanaweza kufikia malengo tuliyojiwekea hivyo wanatakiwa kupunguza presha.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Morocco amezungumzia pia kuhusu mchezo wetu wa marudiano dhidi ya Gaborone United wikiendi ijayo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story