Simba Sports Club
News

VIDEO: Kauli ya Kwanza ya CEO Imani Kajula

26 Jan 2023

Kajula amesema pamoja nakuwa na majukumu mazito ya kuipeleka mbele klabu lakini kazi hiyo haitakuwa ngumu kutokana na mapenzi ya dhati aliyonayo kwa Simba.

Tazama mpaka mwisho mahojiano yake ya kwanza na Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally.

Advertisement
Back to homepage
Share this story