Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien

14 Dec 2024

Fadlu ameongeza kuwa KIkosi chetu kipo kwenye hali nzuri na wachezaji wapo tayari kuhakikisha tunawapa furaha mashabiki ambao tunaamini watakuja kwa wingi kutupa sapoti.

Tazama video hii hadi mwisho kiungo Augustine Okajepha amezungumzia pia kwa niaba ya wachezaji.

Advertisement
Back to homepage
Share this story