Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kauli ya Kocha Fadlu baada ya ushindi dhidi ya Azam

27 Sep 2024

Kocha Fadlu amesema kipindi cha kwanza tulistahili kwenda mapumziko tukiwa mbele kwa mabao matatu lakini hatukuweza kuzitumia vizuri nafasi tulizopata.

Tazama video hii hadi mwisho Kocha Fadlu amewapongeza pia mashabiki huku akizungumzia mwaliko wa Rais Dkt. Hussein Mwinyi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story