Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kauli ya Kocha Basigi baada ya mchezo wa Dabi

18 Mar 2025

Basigi amesema tulitawala sehemu kubwa na kutengeneza nafasi nyingi lakini bahati haikuwa upande wetu na wenzetu wamepata wakatumia moja wakatumia.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Basigi amezitaja mechi nne za ubingwa za Simba Queens.

Advertisement
Back to homepage
Share this story