Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kauli ya Benchikha kuelekea mchezo dhidi ya ASEC

19 Feb 2024

Benchikha amesema haitakuwa rahisi kutokana na kucheza timu iliyo kileleni tena ikiwa nyumbani lakini tumejiandaa kukabiliana na mazingira tutakayokutana nayo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Benchikha ameongelea pia hali ya kiungo mshambuliaji Willy Onana na mlinda mlango Ayoub Lakred.

Advertisement
Back to homepage
Share this story