Awesu amesema mara zote anakuja Zanzibar anajisikia mwenye furaha na yupo tayari kuonyesha uwezo wake chini ya Kocha Mkuu Steve Barker ili kuisadia timu kupata matokeo chanya.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Awesu amezungumzia pia hali ya kikosi kilivyo mpaka sasa.