Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kauli ya Ahmed baada ya kikosi kufika Morocco

14 May 2025

Ahmed amesema kikosi kimefika katika Jiji la Casablanca ambapo kitaweka kambi ya siku mbili kabla ya Ijumaa kuelekea mji wa Oujda ambapo mchezo wetu utapigwa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ametoa ratiba nzima ya timu kwa muda wote itakakapokuwa nchini Morocco.

Advertisement
Back to homepage
Share this story