Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kauli ya Ahmed baada ya kikosi kuelekea Afrika Kusini

23 Apr 2025

Ahmed amesema tumejipanga na tupo tayari kuhakikisha tunafanikisha malengo ya kutinga fainali kutokana na ubora wa kikosi na benchi la ufundi tulilonao.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ametoa ratiba nzima ya timu itakapofika nchini Afrika Kusini.

Advertisement
Back to homepage
Share this story