Kapombe amesema ratiba imebana na tunatakiwa kucheza mechi tatu zote za ugenini dhidi ya Singida Black Stars, TRA United na Tanzania ndani ya siku 11 kitu ambacho tunapaswa kuendelea kuwa na mshikamano.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kapombe amezungumzia ugumu tuliopata katika mchezo wa ugenini uliopita dhidi ya Dodoma Jiji.