Kapombe amesema City ipo kwenye ubora mkubwa lakini tupo tayari kuwakabili na tutaingia kwenye mchezo huo tukiwa lengo la moja la kufuzu na kutinga nusu fainali.
Tazama mahojiano hadi yaliyofanyika baada ya Mazoezi ya Mwisho ya Leo Kapombe amezungumzia kuhusu upigaji wa penati ya mwisho kwenye mchezo dhidi ya Al Masry.