Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kapombe azungumzia maandalizi ya mchezo dhidi ya CS Constantine

30 Nov 2024

Kapombe amesema utakuwa mchezo mgumu hasa ukizingatia tutakuwa ugenini lakini kutokana na maandalizi tuliyoyaanza tuna matumaini makubwa ya kufanya vizuri.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kapombe amezungumzia nafasi ya kufuzu na kutinga robo fainali.

Advertisement
Back to homepage
Share this story