Kapombe amesema JKT wameendelea kubadilika kiuchezaji tangu tulivyocheza mechi mbili za kirafiki kwenye kipindi cha mapumziko na wamezidi kutupa ushindani mkubwa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kapombe amesema ushindi tuliopata ni muhimu kwetu kuelekea kwenye mbio za ubingwa.