Kapombe amesema anafahamu Watanzania wengi wana majonzi kufuatia vifo vya wapendwa wetu lakini ushindi wa leo wa Taifa Stars utakuwa faraja kwa wote.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kapombe amezungumzia furaha yake ya kurejeshwa kwenye kikosi cha Stars dakika za mwisho na kuisaidia timu kufuzu AFCON.