Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kapombe atoa tuzo kwa mwanae mpya

25 Oct 2024

Kapombe amesema ndio maana baada ya kufunga alishangilia kwa staili ya kubembeleza mtoto kwakuwa ilikuwa ni jambo muhimu kuonyesha mapenzi yake kwake.

Tazama mahojiano hadi mwisho, Kapombe ametaja siri ya kiwango chake kubaki vile vile kila siku pamoja na ushauri kwa vijana.

Advertisement
Back to homepage
Share this story