Kapombe amesema ilikuwa jambo zuri kwake kupongezwa na mchezaji wa timu pinzani kwakuwa inaonyesha kile anachokifanya.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kapombe amezungumzia pia nyota wengine ambao wamewahi kumfanyia kama alichofanya Mabululu.