Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kapombe asema baada ya Ngao kinachofuata ni taji la NBCPL

17 Aug 2023

Kapombe amesema msimu wa Ligi 2023/24 utakuwa mgumu na timu zote zimejiandaa vizuri lakini sisi tuna kikosi imara zaidi.

Tazama hadi mwisho mahojiano haya, Kapombe amefunguka mengi ikiwemo usajili wa wachezaji wapya tuliowasajili.

Advertisement
Back to homepage
Share this story