Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kapombe anajifunza kila siku

26 Feb 2025

Kapombe amesema hata wachezaji Kelvin Kijili na David Kameta 'Duchu' ambao ni wadogo zake na anacheza nao nafasi moja huwa nawatazama wanavyocheza na kujifunza baadhi ya mambo kutoka ambayo yanazidi kumuimarisha.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Kapombe amezungumzia pia sapoti kubwa anayopata kutoka kwa mashabiki wa Simba.

Advertisement
Back to homepage
Share this story